mtotoFomu ya usajili itajazwa na kubandikwa picha ya mtoto ya pasipoti. Ambatanisha nakala ya cheti cha kuzaliwa. Nakala ya kitambulisho cha mdhamini wa Mtoto. Kuchangia ni mara mojaSheria ya Mtoto Na. 21 ya mwaka 2009 ni waraka unaoshughulikia masuala mengi ya kitaifa yanayohusu haki na ulinzi wa mtoto. Sheria hii pia imechukua mikataba na makubaliano